1 Kings 10:1

Malkia Wa Sheba Amtembelea Solomoni

(2 Nyakati 9:1-12)

1 aMalkia wa Sheba aliposikia habari za umaarufu wa Solomoni na uhusiano wake na jina la Bwana, akaja kumjaribu kwa maswali magumu.
Copyright information for SwhNEN